TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Kolo Toure

The Typologically Different Question Answering Dataset

Alizaliwa katika sehemu ya Bouaké, na baada ya jaribio wa muda mfupi, Toure alijiunga na Arsenal mnamo Februari 2002 kutoka ASEC Mimosas kwa paundi £ 150,000.  Alipata kibali cha kazi cha Uingereza kutokana na status yake ya kuwa mchezaji wa kimataifa aliyekamilika.  Awali alichezeshwa kama mchezaji wa kiungo cha kati wa kushambulia au kama mshambuliaji.

Kolo Habib Toure alizaliwa wapi?

  • Ground Truth Answers: BouakéBouaké

  • Prediction: